BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

AFRIKA WAIBUKA PANYA WANAOTAFUTA WATOTO KWA KUINGIA NDANI YA NYUMBA NA WATOTO WENGINE KUFARIKI DUNIA.

Mji wa Johannesburg nchini Afrika Kusini ni mmoja wa miji inayokua kwa kasi barani Afrika, lakini mji huo unakabiliwa na tatizo la kuvamiwa na panya walionona ambao huwatafuna watoto wadogo majumbani na wengine kufariki dunia.
Maafisa wa halmashauri ya jiji la Johannesburg sasa wamezidisha juhudi ya kupambana na tatizo hilo ambalo limekuwepo kwa muda mrefu.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: