
Kamishna wa jeshi la polisi zanzibar CP Hamdani Omar Makame amethibitisha kukamtwa kwa mtu huyo ambaye kwa Mujibu wa jeshi hilo mtu huyo amekiri kuwa anajishughulisha na mtandao wa kuagiza, kuingiza na kuhifadhi mabomu ya kivita ya kurushwa kwa mkono na mabomu hayo yalikuwa matano na polisi wamesema huenda moja ya hilo likawa ndilo lilotumika Darajani huku kamishna amesema mtandao huo unausishwa na matukio kadhaa.
Wakati polis imekataa kutoa taarifa yeyeote kuhusu mtuhumiwa huyo jeshi hilo limesema hakuna kosa lolote la kisheria endapo mtu akipelekwa nje yaznazibar kwakosa la ugaidi huku akisema bado polisi ianedelea na upelelezi wa tukio hilo kama ni la zanazibar au la ama ni mtandao waugaidi wa nchi nzima
0 comments:
Post a Comment