BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANAMKE WA MIAKA 40 ABAKWA NA MWANAUME WAKATI AKITEMBEZA MBWA MTAANI.

Mwanamume aliyetenda uovu huo anasakwa na polisi nchini Uingereza

Mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amebakwa akiwa anamtembeza Mbwa wake katika mtaa wa Salford nchini Uingereza.

Alikuwa anatembea karibu na jumba la New Bank Towers siku ya Jumapili alipokutana na mwanamume mmoja ambaye hakumfahamu ila walitembea pamoja.

Walipowasili naye katika barabara ya Mount, alisukumwa kichakani na kubakwa na mwanamume huyo.

Inaarifiwa mwanamume huyo anayesakwa na polisi, alimhadaa mwanamke huyo na kisha kumsukuma kichakani kabla ya kumtendea uovu huo.

Maafisa wa polisi, wanasema kuwa kitendo hicho kilikuwa kibaya sana na kwamba wanafanya uchunguzi.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: