BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS WA ZIMBABWE ATELEZA NA KUANGUKA CHINI YA ZULIA NYEKUNDU BAADA YA HESABU ZA KUKANYAGA NGAZI KUKATAA.

Mara tu baada ya kuwasili kutoka Ethiopia Jumatano hii, Rais wa Zimbabwe aliwasili nchini humo na kuhutubia wananchi waliofika kumpokea.

Baada ya kuhutubia raisi huyo ambaye anafikisha miaka 91 tar 21 mwezi huu wa pili(Februali) alianguka akishuka katika ngazi kama ambavyo picha zinaonekana. Akiwa Ethiopia, Mugabe amechaguliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika (AU)

1. Alianza Kushuka Katika Ngazi

2. Akakosea Kukanyaga Ngazi na Kuteleza
3. Tayari amedondoka chini
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: