BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CHIKAWE AKABIDHI MIFUKO YA SARUJI 900 WILAYA YA NACHINGWEA KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA SHULE ZA SEKONDARI LINDI.


Katibu wa Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, ichinge Mchopa akionesha sehemu ya msaada wa mifuko ya sarufi 900 iliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye  ni mbunge wa Jimbo hilo, Mathias Chikawe (hayupo pichani) kwa ajili ya ujenzi wa Maabara ya Shule za Sekondari katika wilaya hiyo ya Nachingwea. Waziri Chikawe.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Nachingwea, Mathias Chikawe (wa pili kushoto) akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea, Pololet Mgema msaada wa mifuko 900 ya sruji kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Shule za Sekondari katika wilaya  hiyo, Tukio hilo la makabidhiano lilifanyika mjini Nachingwea hana. Picha na Felix Mwagara.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: