ALICHOANDIKA RAIS KIKWETE KATIKA UKURASA WAKE WA TWETER BAADA YA 5 BORA YA WAGOMBEA URAS CCM.
Rais Jakaya Kikwete akionyesha furaha ya kupokea jambo kwa tabasamu.
TIMU kabambe ya wazee wa CCM iliyofanya kazi ya kwanza ya kuchuja majina 41 ya kinyanganyiro cha wagombea urais ndani ya CCM ndiyo hawa.
Chini ni maneno yaliyoandikwa na Rais Kikwete akibainisha kumalizika kwa kazi ya kwanza na kufuatia na hatua nyingine.
0 comments:
Post a Comment