BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CCM WAMALIZA KAZI DODOMA, DK JOHN POMBE MAGUFULI NDIYE MGOMBEA URAIS KATIKA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25/ 2015.



Katika mkutano mkuu uliofanyika usiku wa kumkia leo mjini Dodoma, Dk John Magufuli amechaguliwa kwa kura 2104 akifuatiwa, Amina Salum Ali akipata kura 253 na Asha-Rose Mingiro aliyepata kura 59 na .


Magufuli ndio mgombea rasmi wa uraisi kwa ticket ya CCM.
Kutokana na matokeo ya kura hizo, Dk John Pombe Magufuli ndiye mgombea rasmi wa nafasi ya urais ndani ya chama tawala cha mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25 mwaka huu.

Magufuli amekuwa na 87.08% akifuatiwa na Amina10.5% na
Mingiro 2.4%.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: