Mgombea urais ndani ya CCM, Edward Lowassa akisalimia na Katibu na Uenezi CCM . Nape Nnauye mjini Dodoma wakati wa vikao vya kuwachuja wagombea hao ili kupatikana mmoja na kupeperusha bendera ya chama hicho tawala katika uchaguzi mkuu oktoba 25 mwaka Huu.
0 comments:
Post a Comment