JESHI LATUMIKA KUWATAWANYA WAFUASI WA EDWARD LOWASSA WALIOKUWA WAKIPINGA JINA LAKE KUKATWA NA KUTOINGIA 5 BORA YA URAIS DODOMA.
Askari wa jeshi la Polisi leo wamelazimika kutumia mbwa wao kuwatawanya wafuasi wa mgombea urais CCM, Edward Lowassa kwa kile walichodai kushindwa kuingia katika tano bora kukiwa na lengo la kulinda amani na usalama nje ya jengo la Makao makuu CCM mkoani Dodoma leo.
Wapambe na wafuasi wa Edward Lowassa wakitambaa katika barabara kupinga mgombea huyu jina lake kukwatwa na kamati kuu ikiwemo kushindwa kuingia katika wagombea tano bora.
Gari linalotoa maji ya kuwasha likiwa nje ya jengo la makao makuu CCM.
0 comments:
Post a Comment