El Chapo Guzman atoroka jela Mexico
Aliyekuwa kiongozi wa moja ya makundi makubwa zaidi ya yanayoendesha biashara za madawa ya kulevya nchini Mexico Joaquin El Chapo Guzman ametoroka kutoka gereza moja lenye ulinzi mkali .
Alitoroka kutoka gereza la Altiplano nje ya mji mkuu wa Mexico City
Maafisa wanasema kuwa shughuli za kumtafuta zinaendelea na safari za ndege kutoka uwanja ulio karibu zimesimamishwa. Hii Ndiyo mara ya pili Guzman anatoroka kutoka gerezani.BBC
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kimataifa /
slider
/ MHALIFU WA MAKUNDI YA BIASHARA YA MADAWA YA KULEVYA AWAZIDI UJANJA ASKARI NA KUTOROKA KUTOKA GEREZANI LENYE ULINZI MKALI.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment