BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PICHA ZA BERNARD MEMBE, EDWARD LOWASSA NAPE NNAUYE NA DK JOHN MAGUFULI ZAWA VIVUTIO VIKAO VYA MKUTANO MKUU WA CCM KUCHUJA WAGOMBEA URAIS DODMA,

Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli kushoto akisalimiana na Waziri wa mambo ya nje Bernaed Membe wakati wa mkutano kuu wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) ambapo wagombea urais ndani ya chama hicho walikuwa wakichujwa na kumchagua Dk Magufuli kwa kura nyingi kupeperusha bendera ya chama hicho katika uchaguzi mkuu otoba 25 mwaka huu, Vikao hivyo vilifanyika Dodoma.
Waziri wa mambo ya nje Bernaed Membe kushoto akimsalimia waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa wakati wa mkutano kuu wa chama tawala cha Mapinduzi (CCM) ambapo wagombea urais ndani ya chama hicho walikuwa wakichujwa kupitia vikao vya ndani.
Waziri mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa akisalimiana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Moses Nauye kulia wakati wa vikao vya chama hicho tawala mkoani Dodoma.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: