Mgombea urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CCM, Dkt John Magufuli akionekana katika matukio tofauti wakati wa mkutano wake wa mampeni katika mkoa wa Katavi huku akilakiwa na kuta bulishwa na Waziri mkuu Mizengo Pinda katika mkutano wa kampeni za urais za urais, ubunge na udiwani baada ya tume ya uchaguzi kutoa ruksa ya kuanza kwa kampeni katika uchaguzi mkuu oktoba 25 mwaka huu.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / siasa /
slider
/ DKT JOHN MAGUFULI ALIVYOTINGISHA NYUMBANI KWA WAZIRI MKUU MKUTANO WA KAMPENI
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment