BREAKING NEWS ! WAZIRI WA RAIS JAKAYA KIKWETE AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Celina Komban amefariki dunia nchini India saa moja iliyopita alikokuwa akipatiwa matibabu.
Kwa taarifa zaidi endelea kuungana nasi ili kuweza kujua kinachojiri.
Mwenyezi mungu ailaze roho ya marehemu mahapa stahiki, AMINA.
0 comments:
Post a Comment