Maonyesho hayo yasiyo na kiingilio, yaliambatana na maadhimisho ya miaka 100 ya jeshi la maji nchini hapa.Maonyesho
ya ndege za kivita na vifaa vingine kutoka majeshi ya Marekani,
yamefanyika leo na kuhudhuriwa na maelfu ya watazamaji.
Askari miavuli wakishuka kwa aina yake
Mmoja wa askari wa mwavuli akishuka katika ufunguzi wa maonyesho hayo
F-22 Raptor
F-22 a.k.a Raptor na Mustang zikifanya onyesho la pamoja
F-22 a.k.a Raptor ikisalimu watazamaji kwa mtindo wake
Raptor. Ndege inayoaminika kuwa "kali" zaidi katika mashambulizi duniani
F-22 Raptor inaaminika kuwa ndege ya thamani zaidi duniani, kila moja ikigharimu takriban dola za kiMarekani milioni 150
F-16 Thunderbirds ambazo ndizo zilikuwa onyesho kuu kwa mwaka huu zikianza maonyesho
C-5. Moja ya ndege kubwa za mizigo katika jesho la Marekani |
Mija ya injini za ndege zikiwa uwanjani kwa maonyesho
Watu wakisubiri zamu yao kupata kumbukumbu kwenye "usukani" wa ndege
Na "bodaboda" za angani nazo zilikuwepo
F-35
Joint Strike Fighter (JSF) ni moja kati ya ndege mpya zaidi. Gharama ya
kuitengeneza inakadiriwa itafikia dola za kiMarekani milioni 85 ifikapo
2018
0 comments:
Post a Comment