Rais wa Marekani Barack Obama amemteua Eric Fanning kuwa katibu mpya katika jeshi la Marekani.
Atakuwa mtu wa kwanza kutangaza wazi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja ambaye amewahi kuteuliwa kuchukua cheo cha juu zaidi katika jeshi la Marekani.
Idara ya ulinzi nchini Marekani ilifanyia marekebisho sera zake mwezi juni na kuondoa vizuizi vyo vyote kwa misingi ya mwelekeo ya kijinsia.
Uteuzi wa bwana Fanning bado unahitaji kudhinishaa na bunge la senate.BBC
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kimataifa /
slider
/ RAIS BARACK OBAMA AMTEUA KATIBU MKUU MPYA WA JESHI, NI MSOMI ANAYESHIRIKI MAPENZI YA JINSIA MOJA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment