Mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa akiongozana na viongozi wakuu wa chama hicho wakati akiwasili kwenye uwanja wa Takoshiti, mjini Kyela, Mbeya kwa ajili ya kuhutubia wananchi kwenye mkutano wake wa kampeni jana. (Picha na Othman Michuzi).
0 comments:
Post a Comment