Mabaki ya Chopa baada ya kudondoka kisha kuwaka moto katika hifadhi ya wanyama ya selous upande wa Morogoro na kukatisha maisha ya aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Ludewa, Deo Filikunjombe sambamba na rubani, William Silaa na makada wawili wa CCM jana jioni.
Tukio lilitokea majira ya saa 11 jioni ndani ya hifadhi hiyo wakati wakitoka Dar es Salaam kuelekea Ludewa.
0 comments:
Post a Comment