Utaratibu huo ni ule wa kwenda kumtupia mawe shetani ambapo awali baada ya kurusha jiwe, Mahujaji walipita njia nyingine si ile waliyoitumia wakati wa kwenda, lakini mwaka huu wamerudi kwa njia hiyo hiyo.
Shahidi wa tukio hilo ambaye ni Hujaji kutoka Tanzania, Abdumaliki Kawaya, aliyasema hayo jana na kuongeza kuwa, hali hiyo ilisababisha msongamano wa watu ndipo wengine wakakosa hewa, kupoteza fahamu na wengine kufariki dunia.
0 comments:
Post a Comment