BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

LAZIMA USHINDWE TU MBIO HIZI !! KATUNI ZA KUVUTIA NA KUSISIMUA ZA MCHORAJI KATUNI SAID MICHAEL (WAKUDATA) ZA UCHAGUZI MKUU 2015.

 
ILIKUWA ngumu kupenya katika tundu la sindano kutokana na vikwazo alivyokutana navyo katika kampeni za uchaguzi mkuu Oktoba 25 mwaka 2015 kwani kila kona kulikuwa na vikwazo vingi ukilinganisha neema kidogo aliyoipata na tunagundua kuwa sehemu kubwa ya watanzania kumbe walikuwa wanamfariji tu na kudhihilisha katika sanduku la kura. 
Hapa alishindwa kupanda kutokana na uchofu na ngazi kuwa chakavu lakini mwenzake alipata sijui ikiwa ipo vizuri kisha akaharibu vikanyagio sijui.
 
Walihitimisha kwa kula kiapo cha kutumikia watanzania katika nyasfa zao baada ya hekaheka za kampeni na kuibuka washindi.

Piganeni kwanza alafu mshindi atakabidhiwa huu mzigo katika mkokoteni aendelee nao kuusukuma.
 
Hata kama una nguvu kiasi gani kwa uwingi huu unaweza kuwatwanga ngumi watu watatu ama wanne na kuanguka chini lakini  je hao wengine itakuwaje ?.

Ni tafsiri isiyo rasmi ndugu wasomaji wa MTANDA BLOG.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: