BOMU LA NYUKLIA NA HISTORIA YAKE FUPI.
Bomu la nyuklia hutengenezwa kutokana na madini yenye asili ya Radioactive kama vile Uraninum au Plutonium.
Madini haya yana tabia kuwa yakistuliwa kidogo tu basi yanaanza process inayoitwa nuclear fission ambapo hupasuka vipande vidogo vidogo huku yakiwa yaanaachia joto jingi sana.
Bomu moja la Nyukilia huhitaji U-235 kama kilo hamsini hivi hivi, kwa hiyo ili kuzipata hizo kilo hamsini inabidi uwe na uranium asili zaidi ya tani mia moja halafu uichuje kwa kutumia chekecheo ziitwazo centrifuge ili kuondoa U-238 ambayo ni nzito kidogo na kuacha U235 ambayo ni nyepesi.
Kuchuja tani moja ya Uraniuma inaweza kuchukua miaka miwili au hata mitano kutegemea na ubora wa centrifuge ulizo nazo.
Yale mabomu ya atomiki yalioangusha Nagasaki na Hiroshima yaliuwa watu kwa sababu ya joto ikafikia hata mifupa ya watu ikiwa inayeyuka kwa sababu ya joto.
Mabomu conventional yanayotumia baruti huua watu na kubomoa majengo kwa ajili ya pressure lakini Nyuklia huwasha moto tu
0 comments:
Post a Comment