MAISHA MAGUMU YA WATOTO WA TEMBO MBUGANI.
Mtoto wa tembo akiwa ameshikwa mkonga na mamba wakati tembo hao walikuwa wakinywa maji. Mama tembo akiangalia namna ya kumuokoa mwanaye aliyeng'atwa na mamba.Tembo wakubwa hapa wakifanya jitihada za kumuokoa kutoka kwa mamba aliyeendelea na msimamo wake wa kumng'ata.Hapa baada ya juhudi za kumuokoa zikiwa zimefanikiwa na kumwacha mtoto tembo kuwa huru kutoka katika mdomo wa mamba.
0 comments:
Post a Comment