Ajali ya basi la New Force baada ya kupata ajali eneo la Igemi Mahenge basi lilikuwa linatoka Dar es Salaam likielekea Tunduma na ilifika eneo hilo likakutana na lori aina ya Scani iliyokuwa imebeba mbao ambayo gurudumu la mbele lilipasuka na kuacha upande wake na kwenda kuligonga basi hilo licha ya dereva wa basi kujitahidi kulikwepa lakini alibamizwa na kutupwa nje ya barabara na kusababisha abiria 12 kufariki dunia na wengine kujeruhiwa.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa /
slider
/ TASWIRA YA AJALI YA BASI LA NEW FORCE ENEO LA IGEMI MAHENGE BARABARA KUU DAR-TUNDUMA LEO.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment