BUSARA ZA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI MACHI 29 MWAKA 2016. mtanda blog 10:22 PM kitaifa , slider Edit Rais John Magufuli amewatahadharisha watumishi wa wa umma wanaolipwa mishahara mikubwa na kuishi kama malaika wajiandae kuishi kama shetani. "Katika serikali yangu, sikubali wachache waishi kama malaika na wengi waishi kishetani. Niwahakikishieni kuanzia bunge lijalo, tutaanza kufanya kazi hiyo ili nao waishi kama shetani". Rais John Pombe Joseph Magufuli machi 29 mwaka 2016. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment