KLABU BINGWA AFRIKA 2015 - 2016: YANGA SC 1-1 APR DAKIKA YA 24 UWANJA WA TAIFA DAR ES SALAAM. mtanda blog 4:38 PM michezo , slider Edit Mshambuliaji wa Yanga SC, Donald Ngoma anaipatia Yanga bao la kusawazisha dakika ya 24 baada ya kugongeana pasi murua baina ya Niyonzima kwenda kwa Haji Mwinyi, Kamusoko na kutoa pasi ya goal kwa mfungaji katika kipindi cha kwanza. YANGA 1 APR 1. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment