BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ASKARI WA KIKOSI CHA USALAMA WAENDESHA OPERESHENI YA UPAKIAJI HATARISHI KATIKA PIKIPIKI MORO

Mkaguzi wa polisi, Sunday Ibrahim kushoto akimkamata mwendesha pikipiki eneo la stendi ya daladala Masika Manispaa ya Morogoro huku akisaidiwa na msaidizi wake wakati wa operesheni ya kukamata pikipiki zinazokeuka sheria za usalama barabara pamoja na kutovaaji kofia ngumu (Element), upakiaji mizigo hatarishi, leseni na bima na makosa mengine.PICHA/MTANDA BLOG
 
Ukamataji huo wa pikipiki zenye makosa mbalimbali unaendana na askari kutoa elimu ya matumizi sahihi ya chombo hicho ikiwemo madhara yanayoweza kujitokeza endapo dereva anaweza kupata ajali kuanzia yeye, abiria na pikipiki.

Operesheni hiyo imekuwa endelevu katika mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Morogoro na sehemu nyingine za wilaya zinazounda mkoa.





Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: