BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BUSARA NA HEKIMA KUTOKA KWA RAIS JOHN MAGUFULI

 
Rais Magufuli amesema anafahamu vijana hawapendwi lakini amegundua ndio wachapakazi ambao watasaidia kulipeleka taifa ktk maendeleo anayoyatamani. 

“Nimegundua vijana wengi hawapendi rushwa, hivyo nitaongeza vijana kila nikiteua kwa kuwa niliowaweka naona matunda ya kazi zao,"....

“Najua watu wanawachukia sana ila nitawaongeza. “Palipo na vijana nimeona mambo yanaenda na kuna mabadiliko. Wazee ndio tumelifikisha taifa hili hapa"
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: