BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAMA AMCHARAZA VIBOKO MTOTO WAKE KICHWANI NA KUSABABISHA KIFO TANZANIA.



 
Picha hii ni ya maktaba haihusiani na habari iliyochapishwa

Bunda.
Mkazi wa Kitongoji cha Majengo Kata ya Kabarimu Wilaya ya Bunda Mjini mkoani Mara anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumchapa mtoto wake Wakuru Rungu (9), viboko viwili kichwani na kumsababisha kifo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Ramadhan Ng’anzi amesema tukio hilo lilitokea Mei 15 saa kumi na moja jioni baada ya mama huyo kumtuhumu mwanaye kuiba Sh8,000.

Kamanda Ng’anzi amesema mtoto huyo ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Kabarimu. “Alimpiga sehemu ya kisogo hivyo kusababisha kupoteza mwelekeo,” alisema Ng’anzi. KWA habari zaidi pata nakala ya gazeti la MWANANCHI kesho.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: