Wilson Kabwe, aliyewahi kuwa Mkurugenzi wa Jiji la Dar Es Salaam na baadaye kusimamishwa kazi mwanzoni mwa mwezi Mei, na rais John Magufuli amefariki dunia.
Aidha, inasemekana tangu siku ile wamtumbue jipu kwenye daraja la Kigamboni (sasa hivi Nyerere Bridge) alikuwa shocked na tangu awali inadaiwa alikuwa kalazwa akipatiwa matibabu.
0 comments:
Post a Comment