Huko Kenya wanawake wa jimbo la Ndeiya wameandamana kwa kukosa wanaume wa kuwapa ujauzito.
Hali hiyo imesababishwa na pombe wanazokunywa ambazo hupunguza nguvu za kiume.
Mmoja wa wanawake hao alisikika akisema iwapo tabia hiyo ya ulevi itaendelea itawalazimu kutoka nje ya ndoa zao.
0 comments:
Post a Comment