BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WATU WANANE WALIOUAWA KWA KUCHINJWA TANGA WAIBUA MAZITO

 
Dar/Mikoani. Wakati mauaji ya watu wanane waliochinjwa usiku wa kuamkia juzi mkoani Tanga yakizua maswali lukuki na kuzidisha hofu, imebainika kuwa wauaji waliwachinja wote kuanzia sehemu ya chini ya kisogo.

Watu hao waliuawa kwa kuchinjwa katika kitongoji cha Mabatini, Kata ya Mzimama, Tanga.

Tukio hilo lilifanywa nje ya nyumba ya mwenyekiti wa kitongoji hicho, ikiwa ni mwendelezo wa mauaji ya uchinjaji yaliyoikumba nchi tangu mwanzoni mwa mwezi uliopita. 


Mauaji hayo yametokea wakati mkoa wa Tanga ukizidi kukumbwa na matukio yanayohisiwa kuwa ni ya kigaidi tangu polisi kwa kushirikiana na askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) walipopambana na watu wasiojulikana kwenye mapango ya Amboni Januari 26 mwaka jana.MWANANCHI
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: