BARAZA KUU LA WAISLAMU LAPIGA MARUFUKU WANAWAKE KUVAA VAZI LA NIQAB.
Rwanda National Police (RNP), Imeunga Mkono maamuzi yaliyofikiwa na Baraza Kuu ya Waislamu la Rwanda la kupiga marufuku Niqab. Niqab ni vazi ambalo huvaliwa na wanawake wa Kiislamu kufunika uso mzima na Kubakiza macho tu.
Kupitia Msemajiwa Rwanda National Police (RNP), Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Celestin Twahirwa amesema, RNP imepokea Uwamuzi huo wa Baraza kuu kwa mikono Miwili na Kusema ni Uamuzi Mzuri katika kuimarisha Usalama na Ulinzi wa Nchi.
0 comments:
Post a Comment