Bao la Yanga sc lilipatikana dakika ya 75 kwa Amis Tamwe kufunga bao la kufutia machizi baada ya foulo ilipigwa na Harouna Niyonzima kugonga mwamba na mpira kurudi uwanja na kumkuta mfugaji aliyeusukumiza mpira kimiani.
Mabao ya wenyeji yalipachikwa wavuni na A, Traore Kanda dakika ya 71 huku Maisha Bolingi akifunga bao la pili dakika ya 74 kabla ya Frimpong Kalaba akihitimisha bao la tatu katika mchezo huo.
TP Mazembe 3 - Yanga SC 1.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment