BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI RAIS MAGUFULI MKARIBISHA YOWERI MUSEVENI IKULU DAR.

Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake
huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam jioni ya leo Septemba 7, 2017 tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho.Picha kwa hisaninya Issa Michuzi.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: