Mhudumu wa Baa ya Golden Brigde iliyopo Kawe, Halima Kamalu jijini Dar es Salaam ameeleza kuwa baada ya kupita saa tatu ndipo alipotambua kwamba kuna gari na mtoto ameibwa.
Akielezea tukio hilo, Kamalu alisema kuwa tukio la kuibwa gari la Ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Innocent Dallu, ambalo ndani walikuwamo wanawe wawili.
Kamalu alisema kuwa yeye ndiye aliyempokea mteja aliyefika katika bar yao na kupata kinywaji akiwa na mtoto, ambaye aliagiza soda mbili na kulipa Sh5,000.
Mteja huyo alionja kidogo kinywaji chake kisha aliomba kuelekezwa kilipo kibanda cha kutolea fedha na baada ya hapo hakuweza kurejea tena eneo hilo.
Kamalu alieleza kuwa yalipita kama saa tatu hivi ndipo akiwa polisi alijua kwamba mtoto huyo alikuwa ameibwa pamoja na gari la baba yake Jumapili iliyopita. Alisema alimpenda mtoto huyo baada tu ya kumwona na kwa muda aliokaa naye alimzoea.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa /
slider
/ GARI LILILOIBWA NDANI YAKE KUKIWA NA MTOTO, APATIKANA BAADA YA KUTELEKEZWA BAR
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment