BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HUYU NDIYE RAIS ALIYEUA MAWAZIRI WENGI ZAIDI KWA KUWAPIGA RISASI HADHARANI



Na
Geofrey Chambua 
Sargent Samuel Kanyon Doe 12 April 1980 akiongoza kikosi kidogo cha walinzi wa ikulu ya Rais mjini Monrovia alimpindua Rais wa Liberia William Tolbert na kumuua.

Sargent Samuel Doe aliuawa pamoja na wafuasi wake 26 hapo ikulu baada ya mapambano mafupi na miili yao kuburuzwa kwenye mitaa ya mitaa ya Monrovia
Serikali ya Doe Kwa siku moja iliwaua mawaziri 13, kwa kupiga risasi hadharani

Hatimaye Samuel Doe, September 19th 1990, alikuja kuuawa kwa kukatwa katwa baadhi ya viungo vake huku akilawitiwa na mwili wake kutembezwa uchi wa mnyama tena katika mkokoteni na kuzungushwa kwenye viunga vya Monrovia huku Raia wakishangilia
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: