Simba Sc imerejesha matumaini ya kufufa ndoto za kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwakam2016/2017 baada ya kuilaza Mbao Fc kwa bao 3-2 katika mchezo mkali uliopigwa uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Ushindi huo, Simba walilazimika kujihakishia pointi tatu muhimu hadi dakika saba za nyongeza kwa bao la Mzamiru Yasin baada ya Mbao Fc kutangulia kufunga mabao ya mapema yaliyofungwa na mshambuliaji George Sangija dakika ya 20 na Evalist Benerd aliyefunga bao la pili dakika ya 36 na kwenda mapumziko wakiwa mbele kwa bao 2-0.
Simba Sc walipata bao la kwanza dakika ya 82 lililopachikwa wavuni na Fredrick Blagnon na kuifanya iibuke na ushindi wa bao 3-2.
0 comments:
Post a Comment