Klabu ya Singida united imeondoshwa kwenye mashindano ya SportPesa baada ya kusambaratishwa na AFC Leopard ya Kenya kwa bao 6-5 katika mchezo wa kwanza uliopigwa uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Singida United imeondoshwa kwenye mashindano hayo kwa changamoto ya mikwaju ya penalti ya bao 5-1 kufuatia sare ya bao 1-1 kumalizika dakika 90.
Kwa Matokeo haya AFC Leopard wanafuzu hatua ya nusu fainali watakutana na mshindi kati ya Yanga vs Tusker Fc mchezo unaokaribia kuanza mda sio mrefu.
0 comments:
Post a Comment