Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Mtoto wa Darasa la saba Uhuru Mchanganyiko Mariana Alex Mwenye ulemavu wa macho , anavyo weza kuandika kwa kutumia mashine maalumu ya kuandika, Waziri Mkuu alikabidhi vifaa vya Kujifunzia katika shule mbali mbali hapa Nchini, shughuli hiyo imefanyika Jijini Dar es salaam leo.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
Home / kitaifa /
slider
/ WAZIRI MKUU ATEMBELEA SHULE YA MSINGI UHURU MCHANGANYIKO NA KUKABIDHI VIFAA VYA KUJIFUNZIA
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment