Rais wa Chama cha wanasheria Tanganyika,Mhe. Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana ya Milioni 10 leo, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambapo anakabiliwa na kesi ya uchochezi.
Mahakama ya Kisutu imempa dhamana Mh.Tundu Lissu kwa sharti la kuwa na wadhamini wawili watakaosaini dhamana ya thamani ya milioni kumi, Aidha imemtaka Tundu Lissu kutokuondoka nje ya jiji la Dar es Salaam bila kuwa na kibali maalum cha Mahakama.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment