DODOMA KUPAKA RANGI KWENYE BATI ILI KUTOFAUTISHA NYUMBA ZA KWENYE MITAA MINGINE
Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma, Godwin Kunambi amesema itawekwa sheria ndogo katika Manispaa hiyo, inayolenga kila mtaa kutambuliwa kwa rangi yake ya bati ili kuufanya mji huo kuvutia/StarTV
0 comments:
Post a Comment