MCHORO WENYE UMBO LA BINADAMU JUU YA MAWINGU WAONEKANA SUMBAWANGA
Mchoro wenye kufanana na umbo la binadamu umeonekana juu ya mawingu baada ya kuonekana leo mpakani mwa Zambia na Sumbawanga, Mchoro huo juu ya wingu umeonekena kama mchoro wa ajabu na umewastajabisha wakazi wa maeneo hayo.
0 comments:
Post a Comment