
Afisa Miradi wa Mtandao wa Jinsia Tanania (TGNP), Deogratius Temba akifafanua jambo wakati wa mafunzo ya siku tano ya namna ya kufanya kazi kwenye jamii (Uraghbishi) iliyokuwakutanisha wanaharakati wa kijamii na waandishi wa habari kutoka mikoa ya Morogoro, Mbeya, Shinyanga na Kigoma na kufanyika ukumbi wa TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.PICHA

Mshauri mwelekezi wa masuala ya jinsia, utafiti na Maendeleo wa Mtandao wa Jinsia Tanania (TGNP), Agnes Luganga akifafanua jambo katika mafunzo hayo.


Washiriki wa mafunzo hayo, Christina Haule kushoto na Martha Madawa kutoka Mbeya wakifuatia jambo wakati matukio mbalimbali yakiendelea.

Sehemu ya washirika wa mafunzo hayo ya siku tano ya namna ya kufanya kazi kwenye jamii (Uraghbishi) iliyokuwakutanisha wanaharakati wa kijamii na waandishi wa habari kutoka mikoa minne ya Morogoro, Mbeya, Shinyanga na Kigoma.


Mkufunzi wa mafunzo hayo ya Uraghbishi, Winston Chuchill akifafanua jambo.



Grace Jeremiah kutoka chuo kikuu cha Mtakatifu Augustino Dar es Salaam akichangia jambo wakati wa mafunzo hayo.

Mkazi wa kijiji cha Bwakila Chini halmashauri ya Morogoro Vijijini, Juma Ngwalu akizungumza jambo wakati wa mafunzo siku tano ya namna ya kufanya kazi kwenye jamii (Uraghbishi) iliyokuwakutanisha wanaharakati wa kijamii na waandishi wa habari kutoka mikoa minne ya Morogoro, Mbeya, Shinyanga na Kigoma inayoendelea kufanyika kwenye ukumbi wa TGNP, Mabibo jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment