BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BLOGU YA MTANDA BLOG YASITISHA KUTOA MAUDHUI MTANDAONI

Kutokana na matakwa ya kisheria ya maudhiu ya kutoa huduma za kimtandao bila kuwa na leseni iliyotolewa na mamlaka ya udhibiti wa huduma za mawasiliano tanzania (TCRA), Blogu ya MTANDA BLOG imesitisha kuchapisha habari mbalimbali za jamii kupitia njia ya mtandaoni.

Kanuni ya maudhui ya kimtandao ya mwaka 2018 inayowataka wachapishaji wa maudhui kwa njia ya Blogu na majukwaa ya kimtandao kusajiliwa TCRA na kupata leseni kulingana na gharama zilizobainishwa.

Kwa sasa huduma ya kuchapisha maudhui katika Blogu ya MTANDA BLOG imesitisha rasmi leo Juni 12/ 2018 hadi hapo taratibu za kisheria zitakapo kamilika na haijulikani ni lini itarehea kutoa huduma.

Imetolewa na Mmiliki wa MTANDA BLOG, leo Juni 12 mwaka 2018.

Asantes by.....

Juma Mtanda, Morogoro. 

 


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: