NDIZI SOKO KUU LA MOROGORO. mtanda blog 11:30 AM Edit Kijana mbeba mizigo katika soko kuu la mkoa wa Morogoro akisomba ndizi kutoka sehemu moja kwenda nyingine ambapo ndizi zimekuwa zikitumiwa na waumini wa dini ya kiislam kwa ajili ya futari katika mwezi huu wa funga ya ramadhani. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment