Daladala lenye namba ya usajili T 946 AWG likiwa limekongwa kwa nyuma na basi la Mohamedi Trans ambalo lilikuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea mkoani Musoma katika eneo la Mkomola mkoani Morogoro baada ya kutokea ajali hiyo, hata hivyo chanzo cha ajali hiyo hakikuweza kufahamika mara moja.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment