Mfanyakazi wa Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro akichota uchafu kutoka kwenye mfereji na koleo katika mifereji inayozunguka stendi kuu ya daladala yaendayo nje ya Manispaa hiyo bila ya kuvaa glopsi kwa ajili ya kujikinga na magonjwa ya mlupuko jambo ambalo ni hatari kwa afya.
MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)

0 comments:
Post a Comment