BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MICHEZO YA PIKIPIKI MJI KASORO BAHARI.






Mwendesha pikipiki za michezo mkoa wa Morogoro, Hamisi Mdeng'o akionyesha uhodari wa kuendesha pikipiki aina ya honda 250R huku akiwa anatembelea gurudumo moja la nyuma wakati akifanya mazoezi kwa ajili ya maonyesho ya michezo ya pikipiki yatayofanyika novemba 17 katika uwanja wa Sabasaba mjini hapa.

Hapa Husein Makusi naye akionyesha mbwembwe zake katika mazoezi hayo yaliyofanyika eneo la SUA.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: