PINDA AKILA KIAPO CHA UAZIRI MKUU.
WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKILA KIAPO KATIKA IKULU NDOGO YA CHAMWINO DODOMA MKOANI DODOMA MARA BAADA YA KUTEULIWA KUSHIKA WASIFA HUO NA RAIS JAKAYA KIKWETE.
RAIS KIKWETE AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA, RAIS MSTAAFU ALHAJ ALI HASSAN MWINYI, MAKAMU WA RAIS DK, MOHAMED GHALIB BILAL NA MAWAZIRI WAKUU WALIOSTAAFU MARA BAADA YA KUAPISHWA WAZIRI MKUU PINDA.
0 comments:
Post a Comment