BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

ASKARI POLISI SHUJAA ABEBWA JUU NA WAKAZI MORO.







ASKARI WA JESHI LA POLISI MKOA WA MOROGORO PC FANUEL MWAWWA AKIWA AMEBEBWA JUU NA WAKAZI WA MANISPAA YA MOROGORO BAADA YA KUFANIKIWA KUMUA MTU ANAYEDAIWA KUWA JAMBAZI KATIKA MAPAMBO NA ASKARI POLISI BAADA YA KUPORA ZITO KATIKA MMOJA YA DUKA LILILOPO MTAA WA LUMUMBA WAKATI WAKIMPELEKA KITUO KIKUU CHA POLISI MJINI HAPA.

NA PICHA ZA CHINI NI MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI MKOA WA MOROGORO HAMISI SELEMANI AKIWA NA BUNDUKI AINA YA GLOCK 40 YENYE UWEZO WA KAA RISARI 15 KATIKA KITUO HICHO BAADA YA TUKIO HILO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: