BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

VIONGOZI WAPYA NA WAZAMANI KTK JESHI LA POLISI MORO.


KUTOKA KUSHOTO NI MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI MKOA WA MOROGORO HAMIS SELEMANI WA PILI KAMANDA MPYA WA JESHI LA POLISI MKOA ADOLFINA CHIALO NA KUTOKA KULIA NI MKUU WA UPELELEZI WA MAKOSA YA JINAI KANDA MAALUM YA DAR ES SALAAM AHMEDI MSANGI NA WA PILI WAKE NI KAMANDA MPYA WA JESHI LA POLISI MKOA WA ARUSHA THOBIAS ANDENGENYE WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA WAKATI WA HAFLA YA KUWAKARIBISHA VIONGOZI WAPYA NA KUWAAGA WA ZAMANI KATIKA JESHI HILO KWENYE UKUMBI WA GRONESS NANE NANE MANISPAA YA MOROGORO.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: